Artist: Fid Q feat J Bryant
Song Title: DANGER
J Bryant: I am looking, she is looking/I love the way she work it
She is grinding, I am grinding/I love the way she is working it
Dangerx4..hatari hatari
FidQ: Groupies wapo tena lukuki, wapo cute zaidi yako unaweza sema mie ni mzushi/
Laini kama sufi ngozi yako,maufundi yako, sina budi kuja kwako mwenzako nakuomba urudi/
Sijala tangu juzi,siwezi lala bila movie, kama Fala umeniconfuse, mie wala hata sina chuki/
Suti hizo hapo kama ni harusi ndo unataka, haujuti mie ni Rapper hapa Napata saluti/
They shoot.. “PAAAH” I made you look,sio Love Letter ni Love Song kwenye Rhyme Book/
FidQ sio mtu wa juu kwa juu,as you see I can’t leave so I do LOVE YOU/
Repeat the chorus
BRIDGE:
J Bryant
I see it in your eyes that you are the freaky type/looking at the way your body moves
Got me in the corner of avenue/and now am thinking you some maybe suit/got me in the corner grinding too
I do, I do, I do, I do the way that you move
2nd verse:
Fid Q
Kama za Chinese Chiwawa hizo kucha,upo sawa mzuka Mama,umenivuta sana nimepagawa nitakupa flowers/
Napenda jinsi we Binti ulivyo Mtulivu,Msikivu,sio Mvivu,Mzabibu nikinge Bandidu nisife kwa Wivu/
Hakuna nitakachoguna sana itaniuma ukinuna, nitajituma mie Msukuma kunichuna Mama sio ishu/
Upo Sweet zaidi ya Ndizi za kiabakali, zaidi ya Sukari,zaidi ya Asali na una Figure flani kali/
3rd Verse:
Fid Q
Mkulima akimeza Mbegu Jembe halikosi mwenyewe,nahisi niliumbwa ili unipende yaani sio lazima unielewe/
Naweza toa lakini mimi nisipewe,mimi ninaweza taka kukuoa kwenu wakakataa usiolewe/
Haujali kulala Ghetto au kuzishampoo hizi Rasta,kama Dansa wa Loketto juu ya FidQ unavyokata/
Upo na Mimi ‘Chill’ usilete usumbufu,na wasikutishe kwa Vimini tayari ushanivisha Vicheche Proof/
Ulivyonitega ili kuonyesha hisia zako, nitakupenda zaidi ya unavyojipenda zaidi ya Mbwa wako/
Nasinzia nikikuwaza japo we sio Wahu,nakufikiria fasta moyo unakimbia kama Babuu/
Nasikia siku hizi mapenzi hayaendi bila Cash?hata kama ukimpenda mtu kama hana kitu usimuonyeshe/
Na wenye nazo hawajatulia, wanawakatia mikwanja,wanawatumia, wanawaacha,wanawakimbia/
No comments:
Post a Comment