Track Name: ZA MWIZI 40
Singer: HUSSEIN MACHOZI
Produced by: AMBA & KID BWOY
Composed by: HUSSEIN MACHOZI
Arranged by: HUSSEIN MACHOZI & KID BWOY
Mixed by: KID BWOY
Studio: TETEMESHA RECORDZ / AB RECORDS
ZA MWIZI LYRICS
VERSE-1
Nilipokufata mara ya kwanza nilikwambia "I got no money",
jibu lako toka moyoni mwako ukasema "its okey",
Nilipokufata mara ya kwanza nilikwambia "I got no money",
jibu lako toka moyoni mwako ukasema "its okey",
Nilidhani nimepata kumbe nimepotea njia,
nikienda kazini night kumbe ndo yako tabiaaa,
kosaaaa, la kwangu mwenyeweeee,
kumweka chui kwenye zizi la mbuziiiiii,
CHORUS
Kwa kinywa chako ulisema unanipenda unanithaminiiiiii,
Ona sasa umeumbuka na umefanya niniiiiii,
Hii jeans ya naniiii? ahaaaa,
Hii shati ya naniiii?
Hii buti ya naniiiiii? ahaaaa,
Na hii simu ya naniiii?
VERSE-2
Haya sasa chagua nikupe adhabu ganiiii, ohoooo
hakuna forgiveness huruma wala niniiii, heieiei
Haya sasa chagua nikupe adhabu ganiiii, ohoooo
hakuna forgiveness huruma wala niniiii, heieiei
Sielewi ni tamaa zako tuu au tabia,
Umeshindwa kuniheshimu wanaume hadi ndani unaletaaaa,
Za mwizi arobainiii,
Leo hii utanieleza niniiii.
CHORUS
Kwa kinywa chako ulisema unanipenda unanithaminiiiiii,
Ona sasa umeumbuka na umefanya niniiiiii,
Hii jeans ya naniiii? ahaaaa,
Hii shati ya naniiii?
Hii buti ya naniiiiii? ahaaaa,
Na hii simu ya naniiii?
VERSE-3
Na kudadeki huyu aliemo humu ndani ama zangu ama zake,
Haiwezekani ndani kwangu ageuze kama kwake,
Na kudadeki huyu aliemo humu ndani ama zangu ama zake,
Haiwezekani ndani kwangu ageuze kama kwake,
Atanieleza "ohooo",
Atanitambuaaaaa, "ahaaa"
Atanijua "eheee"
Atanisoma ahaaa
Kwa kinywa chako ulisema unanipenda unanithaminiiiiii,
Ona sasa umeumbuka na umefanya niniiiiii,
Hii jeans ya naniiii? ahaaaa,
Hii shati ya naniiii?
Hii buti ya naniiiiii? ahaaaa,
Na hii simu ya naniiii?