tangu dhiki zaniandaa
ulizidi tu kung'ang'ania
nimeshagongesha wasichana
hukuchoka ulisimama
shapsin
hukuchoka ulisimama
ulitatua nilipozama
oooh beibe oooh beibe
nifanye kipi usiniache
maana sijakosa machache
sio queen we malkia
magoti nakupigia
shapsin
unanipaaaaaaaaaa
zaidi ya penzi,shahidi mungu mwenyezi
mabaya unanikana, sometimes nakuonana mama
mazuri wanipongeza, sipendi mi kukuwaza
ingawa nipo duniani, ila naona kaa paradise
umenifanya nikuamini, amini kweli ipo wazi
nasaka pesa upendeze, ahadi nizitimize
umebadili yangu maisha maa, dunia nitaijulisha
unauzuri wa kuzaliwa
uzuri wako si wa dukaniumejaaliwa wa kukushika sijui nani
izzo mapenzi acha nijiite, maana mpenzi nimempata
wote wajue tena popote, sitaki kutapatapa
wee ni zaidi ya mwalim,
mapenzi umehitimu, kuibiwa hata huogopi,mbinu zako hawazifikii
wacha sifa mi nikupe
nifanye kwako nidate
karibu we karibia
kitambo nakungojea x2
nakuite beiby
bakuita njoo
CHORUS
heeeee eeeeeeeh hooooooooooow
you feed me all de lov
and affection baby gal
heeeeee eeeeeeeeeh hooooooooow
njoo unipe raha ya maishaaa
heeeee eeeeeeh hooooooooooow
uchafu wa moyo umeusafisha
baby gal
heeee eeeeeh hooooooow
oooooooh beibe ooooooooh beibe
baby gal
shapsin kichombezo
mimi nafsi wewe mwili, mapenzi yaliyo kamili
njoo uwe na mimi beibiiiii, sijachoka beibiiiii
najua soo many times
nimekukosea, binadamu sio kamili
wanga wanachochea, beibe beibii gal
beibiiii beibiiii, beibiii gal
kwenye shida tupo pamoja, mpaka kupomp shampein
wote kwako wanangoja, mamy sipigi kampeni
ulinzi bora kaa wa jeshi, ulinzi wa penzi lako
hautegeki kirahisi, utasutwa na nafsi yako
mi siwezi kuuliza, haya mapenzi kitu gani
japo mi si wa kwanza, wengu hudhani kitandani
wameshadiss sikufai, hawapendi nikiwa hai
wanasema we hunifai, haubagui hauchagui
zote zao za sakafuni, hapa kwangu ndio ukingoni
heshima dawa ndani ya penzi
kipenzi shika hii tenzi, usinifiche ninapokosa maa
usiwaze kuhusu posa , mi ama good boy
tena kushinda hata niki, wajulishe u got a boy, be happy u got a boy
wajulishe kwako sing'oki, fuata njia iliyoboramamy fanya kuwachora
nikuite nani ujigambe, niwaumize hawa wapambe
we sio best friend, kama ulivia na fifty
nisipokuona siku hazigandi , kweli siku hazipiti
jiachie enjoy nami, we sema unapenda nini
whaaaaaaaaaaaat
rudia chorus
outro
ha hahaaaaa (kicheko)
marco chali
marco chizi kidogo
mj records
one

No comments:
Post a Comment