FADDY
TO TELL YOUR FRIEND ABOUT THIS.
Search This Blog
Friday, April 2, 2010
Song Title: DANGER
J Bryant: I am looking, she is looking/I love the way she work it
She is grinding, I am grinding/I love the way she is working it
Dangerx4..hatari hatari
FidQ: Groupies wapo tena lukuki, wapo cute zaidi yako unaweza sema mie ni mzushi/
Laini kama sufi ngozi yako,maufundi yako, sina budi kuja kwako mwenzako nakuomba urudi/
Sijala tangu juzi,siwezi lala bila movie, kama Fala umeniconfuse, mie wala hata sina chuki/
Suti hizo hapo kama ni harusi ndo unataka, haujuti mie ni Rapper hapa Napata saluti/
They shoot.. “PAAAH” I made you look,sio Love Letter ni Love Song kwenye Rhyme Book/
FidQ sio mtu wa juu kwa juu,as you see I can’t leave so I do LOVE YOU/
Repeat the chorus
BRIDGE:
J Bryant
I see it in your eyes that you are the freaky type/looking at the way your body moves
Got me in the corner of avenue/and now am thinking you some maybe suit/got me in the corner grinding too
I do, I do, I do, I do the way that you move
2nd verse:
Fid Q
Kama za Chinese Chiwawa hizo kucha,upo sawa mzuka Mama,umenivuta sana nimepagawa nitakupa flowers/
Napenda jinsi we Binti ulivyo Mtulivu,Msikivu,sio Mvivu,Mzabibu nikinge Bandidu nisife kwa Wivu/
Hakuna nitakachoguna sana itaniuma ukinuna, nitajituma mie Msukuma kunichuna Mama sio ishu/
Upo Sweet zaidi ya Ndizi za kiabakali, zaidi ya Sukari,zaidi ya Asali na una Figure flani kali/
3rd Verse:
Fid Q
Mkulima akimeza Mbegu Jembe halikosi mwenyewe,nahisi niliumbwa ili unipende yaani sio lazima unielewe/
Naweza toa lakini mimi nisipewe,mimi ninaweza taka kukuoa kwenu wakakataa usiolewe/
Haujali kulala Ghetto au kuzishampoo hizi Rasta,kama Dansa wa Loketto juu ya FidQ unavyokata/
Upo na Mimi ‘Chill’ usilete usumbufu,na wasikutishe kwa Vimini tayari ushanivisha Vicheche Proof/
Ulivyonitega ili kuonyesha hisia zako, nitakupenda zaidi ya unavyojipenda zaidi ya Mbwa wako/
Nasinzia nikikuwaza japo we sio Wahu,nakufikiria fasta moyo unakimbia kama Babuu/
Nasikia siku hizi mapenzi hayaendi bila Cash?hata kama ukimpenda mtu kama hana kitu usimuonyeshe/
Na wenye nazo hawajatulia, wanawakatia mikwanja,wanawatumia, wanawaacha,wanawakimbia/
INTRO
AMANI: A, A, A, A, A, A…. A.Y x 2
CHORUS:
AY: You’re my African Queen never seen before, huh huh, gimme me some more x 2
JOKATE:You’re my African King never seen before, huh huh, gimme me some morex2
VERSE 1:
Hey yoh Dj. Hii beat ebu ipump it up,huh huh,that’s what’s up x 2
Everybody in the house yo word up word up,
Upande huu kule here we go what’s up what’s up
Everybody in the house yo word up word up,
Girls now here we go (what’s up what’s up),
Am like..chillin… chillin,
AY nazidi kutoa mapini pini,
Like this and that ile makini kini,
Huwezi kufika juu kabla ya kuanza chini chini,
Ebwana nachokiona mbele duh ni soo,
Ukweli hakita kubore,
Mtoto anazungusha kiuno m like gimme some more,
Gimme some more nami nitakupa utamu tu more,
(What?) yeah babe gimme some more..
CHORUS:
VERSE 2:
If you’re African women,you’re already pretty,
You’re cute,natural,yes indeed,
Huna mambo mengi ndo maana naku-respect,
You know how to dance upo so sexy,
You don wanna milk tea,u wanna (Black Coffee..huh huh)
I know what do you mean girl….
One love Dar,Lagos,Dakar mpaka Jozi
Acraa,Maputo,Kampala,Nairobi to Wendhoek,
Am proud to be born in Africa,Most beautiful girl,
Nishaenda kote hapa nimefika,Nakeep it real,
Pump pump,siwezi rudi nyuma mazee
Pump pump,nazidi kuwapa heshima aisee,
Wanajua kudress,kudance yo cap yo hands,
That’s what m talking about,
Njoo karibu,hapa ni paradise zaidi ya Malibu,
Enjoy tu,mi ndo King..we Queen wangu tu,
Sikusifii uongo hakuna unachoharibu,
Unajiheshimu pesa haikupi wazimu…..
CHORUS:
BRIDGE:
AMANI: My King all the time unashine
Popote unapoenda you always in ma’ mind,
Unaweza utabibu, you’re number one,
Wengine hufanani nao…we ndo…
AY: My Queen all the time unashine
Popote unaenda upo tu in ma’ mind,
Unaweza utabibu, you’re number one,
Wengine hufanani nao…we ndo…
You are ma’ African Queen never seen before.. Huh huh….. (We ndio my King) x2
ARTISTS: AY Featuring JOKATE & AMANI.
PRODUCED & MIXING BY: HERMY B
STUDIO: B.HITZ MUSIC GROUP
VIDEO BY: OGOPA VIDEOZ