Verse I:
Eeh eeh eeh eeh
Naimani nikiwa peke yangu ntadata sitosikia raha
Naimani nikiwa na wangu burudani baby gal
Naimani nikiwa peke yangu ntadata sitosikia raha
Naimani nikiwa na wangu burudani baby gal
Bora niseme ya moyoni beibeeee
Minataka tukaparty niende na weweeee
Bora niseme ya moyoni beibeeee
Minataka tukaparty niende na weweeee
Twende we mchumba twende tukacheze ngoma oooh!
Kama mavumba yapo ila usilewe sana oooh!
Twende we mchumba twende tukacheze ngoma oooh!
Kama mavumba yapo ila usilewe sana oooh!
Chorus
Navyompenda kumwacha sidhani…. sidhani mimi
Nimpe vyote vilivyo duniani…. Duniani nami
Nimchukue twende nyumbani… twende na mimi
Verse II
Fanya utoke my baby gari iko nje (mmama)
Fanya uondoke muda umekwenda sanaa
Mwenzako nshalewa ukichelewa itakuwa balaa
Ntazidi kunogewa mwisho wa siku mimi ntazima
Nimeshalewa ukichelewa itakuwa balaa
Ntazidi kunogewa mwisho wa siku mimi ntazima
Twende we mchumba twende tukalicheze goma
Kama mavumba yapo ila usilewe sana
Twende we mchumba twende tukalicheze goma
Kama mavumba yapo ila usilewe sana
Mwenzako mi nshalewa ukichelewa nib ala
Ntazidi kunogewa mwisho wa siku ntazima
Ntanogewa mwisho wa siku ntalewa!
Chorus
Navyompenda kumwacha sidhani…. sidhani mimi
Nimpe vyote vilivyo duniani…. Duniani nami
Nimchukue twende nyumbani… twende na mimi
Outro
Ooooh ooooh ooooh ooooh!X2
Twende baby baby baby!
Hey hey jho jho
Tanzania
D-Timing Eih yo Kisaka
Ndio dawa yao mzaz
Emotion records right here
Safi sana Makavulive
Eih yo G
Dullaaaaaaaaaaaaaayo!
No comments:
Post a Comment