FADDY

WHY SOME ENTREPRENEURS GET RICH AND WHY MOST DONT

TO TELL YOUR FRIEND ABOUT THIS.

STILL KILL DEM SNATCH MAN

Search This Blog

Friday, April 9, 2010


Track Name: ZA MWIZI 40

Singer: HUSSEIN MACHOZI

Produced by: AMBA & KID BWOY

Composed by: HUSSEIN MACHOZI

Arranged by: HUSSEIN MACHOZI & KID BWOY

Mixed by: KID BWOY

Studio: TETEMESHA RECORDZ / AB RECORDS

ZA MWIZI LYRICS

VERSE-1

Nilipokufata mara ya kwanza nilikwambia "I got no money",

jibu lako toka moyoni mwako ukasema "its okey",

Nilipokufata mara ya kwanza nilikwambia "I got no money",

jibu lako toka moyoni mwako ukasema "its okey",

Nilidhani nimepata kumbe nimepotea njia,

nikienda kazini night kumbe ndo yako tabiaaa,

kosaaaa, la kwangu mwenyeweeee,

kumweka chui kwenye zizi la mbuziiiiii,

CHORUS

Kwa kinywa chako ulisema unanipenda unanithaminiiiiii,

Ona sasa umeumbuka na umefanya niniiiiii,

Hii jeans ya naniiii? ahaaaa,

Hii shati ya naniiii?

Hii buti ya naniiiiii? ahaaaa,

Na hii simu ya naniiii?

VERSE-2

Haya sasa chagua nikupe adhabu ganiiii, ohoooo

hakuna forgiveness huruma wala niniiii, heieiei

Haya sasa chagua nikupe adhabu ganiiii, ohoooo

hakuna forgiveness huruma wala niniiii, heieiei

Sielewi ni tamaa zako tuu au tabia,

Umeshindwa kuniheshimu wanaume hadi ndani unaletaaaa,

Za mwizi arobainiii,

Leo hii utanieleza niniiii.

CHORUS

Kwa kinywa chako ulisema unanipenda unanithaminiiiiii,

Ona sasa umeumbuka na umefanya niniiiiii,

Hii jeans ya naniiii? ahaaaa,

Hii shati ya naniiii?

Hii buti ya naniiiiii? ahaaaa,

Na hii simu ya naniiii?

VERSE-3

Na kudadeki huyu aliemo humu ndani ama zangu ama zake,

Haiwezekani ndani kwangu ageuze kama kwake,

Na kudadeki huyu aliemo humu ndani ama zangu ama zake,

Haiwezekani ndani kwangu ageuze kama kwake,

Atanieleza "ohooo",

Atanitambuaaaaa, "ahaaa"

Atanijua "eheee"

Atanisoma ahaaa

CHORUS

Kwa kinywa chako ulisema unanipenda unanithaminiiiiii,

Ona sasa umeumbuka na umefanya niniiiiii,

Hii jeans ya naniiii? ahaaaa,

Hii shati ya naniiii?

Hii buti ya naniiiiii? ahaaaa,

Na hii simu ya naniiii?

MWISHO

JAMANI KINA MAMA KUENI MAKINI NA MAJI MNAYOTUMIA




verse 1:
ah na make rain na hizi barz ,get ready u ambrella
mwanaume halisi mwenye nature, without fella
ama big brother kama jay rocafela, hela, e e e e e
wanaongea wengi lakini boss ni hela, ukiniletea polisi sio movie ni trela
sio jela naingia kwenye mifuko ya hakimu
ripoti ya postimotam imeshahukumu kwamba kuchanganya sheria na pesa ndio sumu
sumu iliyochukua uhai wa marehem
ambao wengi ni maskini na dini zimekuwa perfume
injili ya roho imebaki kwenye jukwaa
ulizia pesa wakuzime kama taa, ulizia pesa wakuzime kama taa
nisomo rahisi lisilohitaji hata tuition!

may be is true ur ready for war, for what mission?
ama big fish in this ocean, i sound better you sound like distortion
you cant be me, first start copy my motion, mimba za chuki bado nazifanyia abortion
wapinzani wana mistari soft kama lotion, siwezi kujizuia kuwapiku
bahati mbaya leo mmenikuta na akili zangu za usiku
roho za watu wengi hazipo huru mnashangaa,
shtuka bado kitaa kuna utawala wa njaa
thats why ni cash money sipokei bond,
naicheza game akili nyingi kama movies za james bond
its the shame black man, we are blood diamond, i found my basic from illimatic
but now joh makini is pure mathematic
you already know what it is

chorus
nawavua samki wabichi kutoka ocean, copy my motion
yes yes yes you aint got no option, ah ah
unataka kurusha stim na stimu zimelipiwa?

verse 2
inafurahisha kuona hamjakata tamaa bado,
na uwezo wenu wa kuprove uwezo wenu wa joh mtangoja bado
mtoto wa mtaani bado yupo jalalani,na ukicheki ni muda ambao alitakiwa kuwepo shuleni
wahusika nani nyote mnatazama pembeni, hapa sihitaji mganga kumtambua mchawi ni nani
muziki umeingia live basi band jipangeni, mungu amenifanya mtamu kama tunda la peponi
nimezaliwa pasipo ndoto za maisha ya no light, wezi every night thank god am bright
my mama told me dont give up the fight, niangalie juu, chini anapatizama almighty.

chorus:


verse 3.
you are now rocking with best raper, best mc
am over pic the kilimanjaro i can see, not only you even your favourite mcz
they have no choice, they realy try to be like me, ni moja kati ya mipango ya mungu kwa karne hii
the crown is mine thats why wana copy kwa bidii,
iam the winner i have never been lucky, iam the winner i have never been lucky
never try ur luck here you might get stuck, your category is wack
your category is wack, i herad you said your back,
where have you been, your so soft compare to KING OH MAKINI.

CHORUS


tangu dhiki zaniandaa
ulizidi tu kung'ang'ania
nimeshagongesha wasichana
hukuchoka ulisimama

shapsin
hukuchoka ulisimama
ulitatua nilipozama
oooh beibe oooh beibe

nifanye kipi usiniache
maana sijakosa machache
sio queen we malkia
magoti nakupigia

shapsin
unanipaaaaaaaaaa

zaidi ya penzi,shahidi mungu mwenyezi
mabaya unanikana, sometimes nakuonana mama
mazuri wanipongeza, sipendi mi kukuwaza
ingawa nipo duniani, ila naona kaa paradise
umenifanya nikuamini, amini kweli ipo wazi
nasaka pesa upendeze, ahadi nizitimize
umebadili yangu maisha maa, dunia nitaijulisha
unauzuri wa kuzaliwa
uzuri wako si wa dukaniumejaaliwa wa kukushika sijui nani
izzo mapenzi acha nijiite, maana mpenzi nimempata
wote wajue tena popote, sitaki kutapatapa
wee ni zaidi ya mwalim,
mapenzi umehitimu, kuibiwa hata huogopi,mbinu zako hawazifikii

wacha sifa mi nikupe
nifanye kwako nidate
karibu we karibia
kitambo nakungojea x2

nakuite beiby
bakuita njoo

CHORUS
heeeee eeeeeeeh hooooooooooow
you feed me all de lov
and affection baby gal
heeeeee eeeeeeeeeh hooooooooow
njoo unipe raha ya maishaaa
heeeee eeeeeeh hooooooooooow
uchafu wa moyo umeusafisha
baby gal
heeee eeeeeh hooooooow
oooooooh beibe ooooooooh beibe
baby gal

shapsin kichombezo

mimi nafsi wewe mwili, mapenzi yaliyo kamili
njoo uwe na mimi beibiiiii, sijachoka beibiiiii
najua soo many times
nimekukosea, binadamu sio kamili
wanga wanachochea, beibe beibii gal
beibiiii beibiiii, beibiii gal

kwenye shida tupo pamoja, mpaka kupomp shampein
wote kwako wanangoja, mamy sipigi kampeni
ulinzi bora kaa wa jeshi, ulinzi wa penzi lako
hautegeki kirahisi, utasutwa na nafsi yako
mi siwezi kuuliza, haya mapenzi kitu gani
japo mi si wa kwanza, wengu hudhani kitandani
wameshadiss sikufai, hawapendi nikiwa hai
wanasema we hunifai, haubagui hauchagui
zote zao za sakafuni, hapa kwangu ndio ukingoni
heshima dawa ndani ya penzi
kipenzi shika hii tenzi, usinifiche ninapokosa maa
usiwaze kuhusu posa , mi ama good boy
tena kushinda hata niki, wajulishe u got a boy, be happy u got a boy
wajulishe kwako sing'oki, fuata njia iliyoboramamy fanya kuwachora
nikuite nani ujigambe, niwaumize hawa wapambe
we sio best friend, kama ulivia na fifty
nisipokuona siku hazigandi , kweli siku hazipiti
jiachie enjoy nami, we sema unapenda nini
whaaaaaaaaaaaat

rudia chorus

outro

ha hahaaaaa (kicheko)
marco chali
marco chizi kidogo
mj records
one

Wednesday, April 7, 2010


  • ConfeConfess in Secret
  • Oh yaahh I've got trouble with my friends
  • Trouble in my life
  • Problems when you don't come home at night
  • But when you do You always Fight
  • But I can't be alone I need you to come on home
  • I know you messin around
  • But who da hell else is gonna hold me down
  • Oooh I gota bo out my mind
  • To think it's gona work this time
  • A part of me wants to leave
  • But the other side Still believe's
  • Chorus
  • And it kills me
  • To know how much I really love you
  • So much I wana hoo hoo hooo
  • To you hoo hoo

  • swag
  • Should I grab his cell
  • Call this chick up
  • Start some shhh And then hang up
  • Or should I be a lady
  • Ooh maybe cause I wana have his baby
  • Ooh yea I don't wana be alone
  • I don't need to be on my own
  • But I love this man
  • But some things I just can't stand
  • Ooh I gota be out my mindTo think
  • it's gona work this time
  • A part of me wants to leave
  • But the other side still believes
  • hoo hooTo you hoo hoo
  • NB:
  • REALLY KILLS ME !!
  • BUT AM TRYING TO BE A LADY!!
  • Wat A Song!!
  • i luv it to death!
  • Oh yaahh I've got trouble with my friends
  • Trouble in my life
  • Problems when you don't come home at night
  • But when you do You always Fight
  • But I can't be alone I need you to come on home
  • I know you messin around
  • But who da hell else is gonna hold me down
  • Oooh I gota bo out my mind
  • To think it's gona work this time
  • A part of me wants to leave
  • But the other side Still believe's
  • Chorus
  • And it kills me
  • To know how much I really love you
  • So much I wana hoo hoo hooo
  • To you hoo hoo

  • swag
  • Should I grab his cell
  • Call this chick up
  • Start some shhh And then hang up
  • Or should I be a lady
  • Ooh maybe cause I wana have his baby
  • Ooh yea I don't wana be alone
  • I don't need to be on my own
  • But I love this man
  • But some things I just can't stand
  • Ooh I gota be out my mindTo think
  • it's gona work this time
  • A part of me wants to leave
  • But the other side still believes
  • hoo hooTo you hoo hoo
  • NB:
  • REALLY KILLS ME !!
  • BUT AM TRYING TO BE A LADY!!
  • Wat A Song!!
  • i luv it to death!

Tuesday, April 6, 2010


Mbaaalaaataaaattaaaa 'no' uuutatttttaaaaa

Friday, April 2, 2010

Artist: Fid Q feat J Bryant
Song Title: DANGER
J Bryant: I am looking, she is looking/I love the way she work it
She is grinding, I am grinding/I love the way she is working it
Dangerx4..hatari hatari
FidQ: Groupies wapo tena lukuki, wapo cute zaidi yako unaweza sema mie ni mzushi/
Laini kama sufi ngozi yako,maufundi yako, sina budi kuja kwako mwenzako nakuomba urudi/
Sijala tangu juzi,siwezi lala bila movie, kama Fala umeniconfuse, mie wala hata sina chuki/
Suti hizo hapo kama ni harusi ndo unataka, haujuti mie ni Rapper hapa Napata saluti/
They shoot.. “PAAAH” I made you look,sio Love Letter ni Love Song kwenye Rhyme Book/
FidQ sio mtu wa juu kwa juu,as you see I can’t leave so I do LOVE YOU/
Repeat the chorus
BRIDGE:
J Bryant
I see it in your eyes that you are the freaky type/looking at the way your body moves
Got me in the corner of avenue/and now am thinking you some maybe suit/got me in the corner grinding too
I do, I do, I do, I do the way that you move
2nd verse:
Fid Q
Kama za Chinese Chiwawa hizo kucha,upo sawa mzuka Mama,umenivuta sana nimepagawa nitakupa flowers/
Napenda jinsi we Binti ulivyo Mtulivu,Msikivu,sio Mvivu,Mzabibu nikinge Bandidu nisife kwa Wivu/
Hakuna nitakachoguna sana itaniuma ukinuna, nitajituma mie Msukuma kunichuna Mama sio ishu/
Upo Sweet zaidi ya Ndizi za kiabakali, zaidi ya Sukari,zaidi ya Asali na una Figure flani kali/
3rd Verse:
Fid Q
Mkulima akimeza Mbegu Jembe halikosi mwenyewe,nahisi niliumbwa ili unipende yaani sio lazima unielewe/
Naweza toa lakini mimi nisipewe,mimi ninaweza taka kukuoa kwenu wakakataa usiolewe/
Haujali kulala Ghetto au kuzishampoo hizi Rasta,kama Dansa wa Loketto juu ya FidQ unavyokata/
Upo na Mimi ‘Chill’ usilete usumbufu,na wasikutishe kwa Vimini tayari ushanivisha Vicheche Proof/
Ulivyonitega ili kuonyesha hisia zako, nitakupenda zaidi ya unavyojipenda zaidi ya Mbwa wako/
Nasinzia nikikuwaza japo we sio Wahu,nakufikiria fasta moyo unakimbia kama Babuu/
Nasikia siku hizi mapenzi hayaendi bila Cash?hata kama ukimpenda mtu kama hana kitu usimuonyeshe/
Na wenye nazo hawajatulia, wanawakatia mikwanja,wanawatumia, wanawaacha,wanawakimbia/


INTRO

AMANI: A, A, A, A, A, A…. A.Y x 2

CHORUS:

AY: You’re my African Queen never seen before, huh huh, gimme me some more x 2

JOKATE:You’re my African King never seen before, huh huh, gimme me some morex2

VERSE 1:

Hey yoh Dj. Hii beat ebu ipump it up,huh huh,that’s what’s up x 2

Everybody in the house yo word up word up,

Upande huu kule here we go what’s up what’s up

Everybody in the house yo word up word up,

Girls now here we go (what’s up what’s up),

Am like..chillin… chillin,

AY nazidi kutoa mapini pini,

Like this and that ile makini kini,

Huwezi kufika juu kabla ya kuanza chini chini,

Ebwana nachokiona mbele duh ni soo,

Ukweli hakita kubore,

Mtoto anazungusha kiuno m like gimme some more,

Gimme some more nami nitakupa utamu tu more,

(What?) yeah babe gimme some more..

CHORUS:

VERSE 2:

If you’re African women,you’re already pretty,

You’re cute,natural,yes indeed,

Huna mambo mengi ndo maana naku-respect,

You know how to dance upo so sexy,

You don wanna milk tea,u wanna (Black Coffee..huh huh)

I know what do you mean girl….

One love Dar,Lagos,Dakar mpaka Jozi

Acraa,Maputo,Kampala,Nairobi to Wendhoek,

Am proud to be born in Africa,Most beautiful girl,

Nishaenda kote hapa nimefika,Nakeep it real,

Pump pump,siwezi rudi nyuma mazee

Pump pump,nazidi kuwapa heshima aisee,

Wanajua kudress,kudance yo cap yo hands,

That’s what m talking about,

Njoo karibu,hapa ni paradise zaidi ya Malibu,

Enjoy tu,mi ndo King..we Queen wangu tu,

Sikusifii uongo hakuna unachoharibu,

Unajiheshimu pesa haikupi wazimu…..

CHORUS:

BRIDGE:

AMANI: My King all the time unashine

Popote unapoenda you always in ma’ mind,

Unaweza utabibu, you’re number one,

Wengine hufanani nao…we ndo…

AY: My Queen all the time unashine

Popote unaenda upo tu in ma’ mind,

Unaweza utabibu, you’re number one,

Wengine hufanani nao…we ndo…

You are ma’ African Queen never seen before.. Huh huh….. (We ndio my King) x2

ARTISTS: AY Featuring JOKATE & AMANI.

PRODUCED & MIXING BY: HERMY B

STUDIO: B.HITZ MUSIC GROUP

VIDEO BY: OGOPA VIDEOZ